Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali (Mst) Raphael Muhuga anawatangazia wananchi wa Mkoa wa Katavi kuwa mwezi Mei, 2018 atakuwa na Mkutano wa Hadhara na Wananchi wote katika Uwanja wa Azimio Mjini Mpanda. Lengo la Mkutano huo ni kujibu kero zote zilizotolewa na wananchi tarehe 14/4/2018 katika uwanja wa Azimio Mjini Mpanda. Tarehe ya Mkutano huo mtajulishwa.
HAPA KAZI TU.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved