• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Katavi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Maono na Dhamira
  • Huduma
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na bRasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Halmashauri
      • Miundombinu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • maji
      • Afya
      • Elimu
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Idara ya Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
    • Muundo wa Taasisi
  • Machapisho
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Wilaya
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Utalii
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Mkaguzi wa Ndani

Bw. Godfrey Mallembo

Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani Mkoa

Lengo kuu la Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani katika Sekretarieti yaMkoa wa Katavi ni kutoa ushauri kwa Afisa Masuhuli ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoajuu ya matumizi sahihi ya rasilimali fedha kama imefuata sheria, kanuni namiongozo ya matumizi ya fedha za umma.

Kitengocha Ukaguzi wa Ndani kinahusika katika kukagua mifumo mbalimbali iliyowekwa ilikutumika kutunza rasilimali mbalimbali za Serikali kama inatumika ipasavyo nakufuatwa katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali kulingana na mifumo hiyo.

PiaKitengo cha Ukaguzi wa Ndani kinahusika katika usimamizi wa thamani ya fedha(Value for Money) katika miradi mbalimbali inayotekelezwa na kusimamiwa naSekretarieti ya Mkoa wa Katavi. Kitengo kinakagua na kuhakiki mradi kamaunaendana na thamani halisi ya kiwango cha fedha kilichotumika.  

KatikaSekretarieti ya  Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kina watumishi wawili wanaofanyakazi ya Ukaguzi wa ndani Katika Sekretarieti ya Mkoa wa Katavi, pamoja na Ofisiza Wakuu wa Wilaya za Mlele, Mpanda na Tanganyika.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano June 18, 2017
  • Fomu za Kujiunga Kidato cha Tano kwa Shule za Sekondari za Serikali 2018 Mkoa wa Katavi Katavi June 20, 2017
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO NCHINI CHINA April 14, 2017
  • Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani Mkoani Katavi Tarehe 15/5/2017 May 12, 2017
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • ziara ya Ukaguzi wa Kituo cha Afya cha Mishamo

    February 14, 2019
  • Ziara ya RC

    February 08, 2019
  • MAMLAKA YA MAWALIANO KWA WOTE YAKABIDHI MSADA WA COMPUTER ZA MILIONI 46 KWA MANISPAA YA MPANDA

    February 04, 2019
  • Ziara ya Mhe Waziri wa Tamisemi

    December 04, 2018
  • Tazama Zote

Video

HATI
Video zinginezo

Wavuti wa Haraka

  • WATUMISHI PORTAL
  • MWENGE BLOG-KATAVI
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI

Wavuti mwambata

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi

    simu: 025-2957108

    Mobile:

    Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • ramani
    • Huduma

Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved