Dawati la Malalamiko Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi, likiratibu malalamiko ya wananchi wa Mkoa wa Katavi yaliyotolewa na wananchi katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali (Mst) Raphael Muhuga katika uwanja wa Azimio Mjini Mpanda. Jumla ya kero 97 zilisikilizwa huku nyingi zikiilenga Idara ya Ardhi.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved