• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Katavi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Maono na Dhamira
  • Huduma
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na bRasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Halmashauri
      • Miundombinu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • maji
      • Afya
      • Elimu
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Idara ya Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
    • Muundo wa Taasisi
  • Machapisho
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Wilaya
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Utalii
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

KATAVI WATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU, KITUO CHA AFYA MAJIMOTO CHAANZA KUTOA HUDUMA,

Posted on: December 30th, 2022

Na:OMM Katavi

Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Wilayani Mlele Mkoani Katavi imetekeleza agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kasim Majaliwa la Kituo cha Afya Majimoto kuanza kutoa huduma kwa Wananchi ifikapo 27 Desemba 2022.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Hoza Mrindoko, 29 Desemba, 2022 ametembelea kituo hicho na kushuhudia huduma mbalimbali za Afya zikitolewa na Wataalamu wa Afya Kituoni hapo.

Akizungumza na Wananchi waliofika kupata huduma kituoni hapo Mhe.Mwanamvua ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Mpimbwe kwa kutekeleza kwa wakati Maagizo ya Waziri Mkuu ambapo amewataka Wananchi wa Majimoto kuendelea kutunza miundombinu ya Kituo hicho cha kutolea huduma za Afya.

Mhe.Mrindoko amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Wilayani Mlele kuharakisha Ujenzi wa Nyumba za Watumishi kituoni hapo ili waweze kuwa karibu na Mazingira ya kazi ili Wananchi waweze kupatiwa huduma kwa wakati.

Aidha Mhe.Mrindoko  amesisitiza Wananchi wa Majimoto kutoa ushirikiano kwa Viongozi ikiwa ni pamoja na kutoa Taarifa kwa vyombo husika  iwapo watabaini upotevu wa Dawa na Vifaa tiba.

Mnamo Tarehe 14 Desemba, 2022 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa alifanya ziara Wilayani Mlele katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe ambapo alitembelea Kituo cha Afya Majimoto na kutoa maagizo ya kituo hicho kuanza kutoa huduma kwa Wananchi ifikapo 27 Desemba 2022.

Habari zaidi Tembelea:

 Tovuti: www.katavi.go.tz

Blogu: katavirs.blogspot.com


Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC KATAVI AHADI MAZINGIRA RAFIKI KWA WAWEKEZAJI

    March 09, 2023
  • RC KATAVI AWATAKA WANAWAKE KUSAMBAZA MAADILI MEMA KATIKA JAMII

    March 08, 2023
  • RC KATAVI ATOA POLE KWA WANANCHI WALIOGUSWA NA MSIBA WA AJALI YA BASI

    March 07, 2023
  • UKATILI KWA WATOTO HAUKUBALIKI KWA MWENYEZI MUNGU

    March 05, 2023
  • Tazama Zote

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
Video zinginezo

Wavuti wa Haraka

  • SALARY SLIP PORTAL
  • MWENGE BLOG-KATAVI
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI

Wavuti mwambata

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani

Wasiliana nasi

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi

    simu: 025-2957108

    Mobile:

    Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • ramani
    • Huduma

Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved