• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Katavi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Maono na Dhamira
  • Huduma
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na bRasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Halmashauri
      • Miundombinu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • maji
      • Afya
      • Elimu
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Idara ya Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
    • Muundo wa Taasisi
  • Machapisho
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Wilaya
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Utalii
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Katavi Yang'ara

Posted on: June 20th, 2018

MKOA wa Katavi umeongoza katika kutekeleza kwa ufanisimasuala ya uwezeshaji wananchi kiuchumi nchini. Mkoa wa pili ni Kigoma na mkoawa tatu ni Pwani ambayo ndiyo imefanya vizuri katika kuhakikisha imesaidiakatika kuwasaidia wananchi kiuchumi nchini.

Washindi hao walikabidhiwa tuzo hizo na mgenirasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa Kongamano la Tatu la UwezeshajiWananchi Kiuchumi Katika tuzo hizo, wizara, taasisi na idara za serikalizilizofanya vizuri ni Wakala wa Taifa wa Barabara (Tanroads), mshindi wa pilini Wizara ya Kilimo na Wizara ya tatu ni Wizara ya Maliasili na Utalii.

Taasisi zilizofanya vizuri miongoni mwamifuko ya uwezeshaji nchini ni Shirika Binafsi la Kilimo la Sekta ya KusaidiaWananchi (PASS), Mfuko wa Misitu Tanzania na Mfuko wa Rais wa Uwezeshaji.Katika sekta binafsi washindi ni Kampuni ya Coca-Cola Kwanza Limited, Kampuniya Accacia na kampuni ya Saruji Mbeya.

Katika kundi la mjasiriamali wa mwaka,washindi walikuwa ni Nambuli Agriculture Co Ltd, Ibra Contractor Ltd na MustRead. Katika kapuni zilizojizatiti katika kuandaa biashara, washindi ni UongoziInstitute, Financial Deepining Sector Trust na CND Smith Trust. Akizungumziatuzo hizo, Waziri Mkuu Majaliwa alisema kangamano hilo limetoa tuzo kwa taasisizilizotekeleza vizuri zaidi masuala ya uwezeshaji. 

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2020 MKOA WA KATAVI December 08, 2019
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Maadhimisho Wiki ya Maziwa Kitaifa kufanyika Katavi, RC Katavi awahimiza Wananchi/Wadau kushiriki kikamilifu.

    May 25, 2022
  • Safari za Ndege ATCL Katavi sasa mara Nne kwa Wiki, RC Mrindoko awataka Wananchi kutumia Fursa hiyo Kiuchumi.

    May 23, 2022
  • Kampeni ya Chanjo ya Matone ya POLIO yazinduliwa Mpanda, Mganga Mkuu wa Mkoa awataka Wananchi kutoa ushirikiano kwa timu za Wataalamu.

    May 19, 2022
  • Kampeni ya Chanjo ya Matone ya POLIO yazinduliwa Mpanda, Mganga Mkuu wa Mkoa awataka Wananchi kutoa ushirikiano kwa timu za Wataalamu.

    May 19, 2022
  • Tazama Zote

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
Video zinginezo

Wavuti wa Haraka

  • SALARY SLIP PORTAL
  • MWENGE BLOG-KATAVI
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI

Wavuti mwambata

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani

Wasiliana nasi

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi

    simu: 025-2957108

    Mobile:

    Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • ramani
    • Huduma

Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved