• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Katavi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Maono na Dhamira
  • Huduma
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na bRasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Halmashauri
      • Miundombinu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • maji
      • Afya
      • Elimu
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Idara ya Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
    • Muundo wa Taasisi
  • Machapisho
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Wilaya
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Utalii
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Msimu wa Kilimo Katavi wazinduliwa rasmi,RC Katavi awataka Wananchi kutunza chakula kukabiliana na ukame.

Posted on: November 2nd, 2022

Pichani:Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko akikabidhi Trekta kwa Mkulima kutoka Wilaya ya Mlele lililotolewa kama Mkopo kwa Mkulima huyo  kutoka Benki ya NMB wakati wa uzinduzi wa Msimu wa Kilimo katika kilele cha Wiki ya Mwanakatavi 2 Novemba 2022.


Mpanda.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bi.Mwanamvua Hoza Mrindoko ametoa rai kwa Wananchi Mkoani humo kutunza chakula cha kutosha kutokana na tishio la uwepo wa mvua chini ya Wastani katika msimu wa wa Kilimo 2022/2023.

Mhe.Mrindoko ametoa rai hiyo katika tukio la uzinduzi wa Msimu wa Kilimo ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Mwanakatavi ya Kilimo na Utalii iliyohitimishwa rasmi 2 Novemba 2022 katika uwanja wa Shule ya Msingi Kashato Manispaa ya Mpanda.

“Katika maeneo mengine ikiwemo Nchi jirani hali si shwari kun njaa ya hali ya juu,Niwaombe sana Wananchi wa Mkoa wa Katavi kila kaya ihakikishe inatunza chakula cha kutosha ikiwa ni tahadhari ya hali ya ukame”alisema Bi Mrindoko.

Mkuu wa Mkoa Mrindoko ameeleza kuwa Mkoa wa Katavi  katika msimu mpya wa Kilimo 2022/2023 umedhamiria kulima Ekari 339,187 zikiwemo hekta 273,436 za mazao ya chakula na Hekta 65752 za Mazao ya Biashara.

Ameeleza kuwa lengo la Mkoa kwa Msimu wa Kilimo 2022/2023 ni kuzalisha tani 1,159,754 ikiwemo tani 1,074,187 za mazao ya chakula na tani 85,568 za mazao ya Biashara ambapo mahitaji ya mbolea ni tani 14,811.

Katika hatua nyingine Bi Mrindoko amewataka Wananchi Mkoani Katavi kujitokeza kwa wingi kujisajili katika Daftari la Wakulima ili waweze kunufaika na Mbolea ya Ruzuku ili kuleta tija katika uzalishaji.

 

 

 

 

 

 

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Katavi aongoza Wananchi kupanda Miti,ahimiza utunzaji wa mazingira,vyanzo vya Maji,akemea vikali shughulli za kibinadamu katika vyanzo vya Maji.

    January 26, 2023
  • RC Kataci aongoza Wananchi kupanda Miti,Ahimiza utunzaji wa mazingira,vyanzo vya Maji,akemea vikali shughulli za kibinadamu katika vyanzo vya Maji.

    January 26, 2023
  • RC Katavi akabidhi pikipiki 8 kwa Maafisa Tarafa. Awataka kutumia vyombo hivyo kufuatilia Ugawaji wa Mbolea,Uripoti wa Wanafunzi Mashuleni.

    January 13, 2023
  • KATAVI WATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU, KITUO CHA AFYA MAJIMOTO CHAANZA KUTOA HUDUMA,

    December 30, 2022
  • Tazama Zote

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
Video zinginezo

Wavuti wa Haraka

  • SALARY SLIP PORTAL
  • MWENGE BLOG-KATAVI
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI

Wavuti mwambata

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani

Wasiliana nasi

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi

    simu: 025-2957108

    Mobile:

    Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • ramani
    • Huduma

Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved