Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Homera akikagua mabanda ya Mkoa wa Katavi katika maonesho ya nane nane 2019 Jijini Mbeya, na kuwataka washiriki wa maonesho hayo kutoka Mkoa wa Katavi kwa kushilikiana na wataalamu kuhakikisha bidhaa zinazooneshwa katika mabanda ya Mkoa wa Katavi pia zipate fursa ya kuoneshwa Mkoani Katavi kwa kuwa na siku maalumu ya kuuza bidhaa hizo angalau mara moja kwa mwezi.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved