• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Katavi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Maono na Dhamira
  • Huduma
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na bRasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Halmashauri
      • Miundombinu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • maji
      • Afya
      • Elimu
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Idara ya Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
    • Muundo wa Taasisi
  • Machapisho
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Wilaya
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Utalii
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

RC Katavi amuagiza RPC kuchukua hatua madereva mwendo kasi Barabara ya Mpanda Majalila.

Posted on: August 12th, 2022

Pichani Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko alipozungumza na Wananchi wa Majalila katika uwanja wa shule ya Msingi Majalalila Wilayani Tanganyika 11 Agosrti 2022

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko amemuagiza kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi kufuatilia na kuchukua hatua za kisheria kwa madereva wote wa wanaolalamikiwa kuendesha mwendo kasi katika barabara ya Mpanda kuelekea majalila.

Mhe.Mwanamvua  ametoa maagizo hayo baada ya kupokea changamoto kutoka kwa Baadhi ya Wananchi wakilalamikia baadhi ya madereva wa vyombo vya usafiri hususani gari za abiria pamoja na gari za Serikali kuendesha mwendo kasi bila kujali usalama wa maisha ya Wananchi wanaoishi katika maeneo pembezoni mwa barabara hiyo.

Mnesor Iddi Kombakusha Mkazi wa Majalila Wilayani Tanganyika amesema kuwa baadhi ya madereva wanaotumia Njia hiyo wamekuwa wakihatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo kwa kuendesha Mwendok kasi jambo ambalo linaleta hofu kwa usalama wa waenda kwa miguu wanaotumia barabara hiyo.

Kombakusha amemtaja mmoja wa madereva wanaohatarisha usalama wa Wananchi wa Majalila anayefahamika kwa jina moja la Iddi ambaye amekuwa akiendesha mwendo kasi katika barabara hiyo.

Bw.Kombakusha pia amesema madereva wa magari ya Serikali wanaotumia njia hiyo pia wamekuwa wakikiuka sheria za usalama wa barabarani ambapo wamekuwa wakiendesha mwendo kasi katika maeneo hayo bila kujali kuwa ni maeneo ya makazi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA KATAVI APIGA STOP UNYANYASAJI SEHEMU ZA KAZI

    May 01, 2023
  • SERIKALI MKOA WA KATAVI KUPANDISHA MADARAJA WATUMISHI 823

    May 01, 2023
  • RC KATAVI AZINDUA JENGO LA MIONZI NA WODI YA WATOTO WANAWAKE NA WANAUME

    April 27, 2023
  • MKUU WA MKOA WA KATAVI AWAONYA MAFUNDI WA KULALAMIKA DHIDI YA SERIKALI

    April 26, 2023
  • Tazama Zote

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
Video zinginezo

Wavuti wa Haraka

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Wavuti mwambata

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani

Wasiliana nasi

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi

    simu: 025-2957108

    Mobile:

    Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • ramani
    • Huduma

Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved