• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Katavi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Maono na Dhamira
  • Huduma
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na bRasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Halmashauri
      • Miundombinu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • maji
      • Afya
      • Elimu
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Idara ya Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
    • Muundo wa Taasisi
  • Machapisho
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Wilaya
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Utalii
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

RC Katavi awataka Wanafunzi kujituma katika masomo.

Posted on: November 10th, 2022

Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari Mkoani Katavi wametakiwa kutumia fursa ya maboresho ya miundombinu ya Elimu Mkoani humo kujituma katika masomo yao ili kuinua ubora wa Elimu na hivyo kutimiza azma ya Serikali ya awamu ya sita ya kuinua ubora Nchini.

Akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lyamba 9 Septemba 2022 mara baada ya kukagua Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa yanayojengwa Shuleni hapo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bi.Mwanamvua Mrindoko amewaambia Wanafunzi hao kuwa Serikali ya awamu ya sita Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inaboresha miundombinu ya Elimu ili kuwajengea mazingira wezeshi ya kufanya vizuri zaidi katika masomo yao hivyo ni wajibu wao kutumia fursa hiyo kujituma ili kufanya vizuri zaidi katika masomo yao.

Amewaambia Wanafunzi hao kuwa lengo la Serikali ya awamu ya Sita ni kuhakikisha kuwa watoto wote wanaohitimu darasa la saba wanapata fursa ya kupata  Elimu ya Sekondari ili iweze kuwasaidia kujikwamua katika maisha yao.

Awali akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ujenzi wa Madarasa katika Shule ya Sekondari Lyamba,Mkuu wa Shule hiyo Bi.Aanastasia Muna amesema Shule hiyo  ilipokea Kiasi cha Shilingi Milioni 100 kwa ajili ya kutekeleza Ujenzi wa Vyumba 5 vya Madarasa ambapo mpaka sasa utekelzaji wa ujenzi huo uko asilimia 40.

Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza Qeen Mwalukasa akizungumza kwa niaba ya Wanafunzi Shuleni hapo amemshukuru Mhe.Rais Samia Suhuhu Hassan kwa kuboresha miundombinu ya Madarasa Shuleni hapo ambapo ameahidi kujituma zaidi katika masomo yao.

Shule ya Sekondari Lyamba ni moja kati ya Shule 14 za Sekondari za Serikali ndani ya Manispaa ya Mpanda.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Katavi aongoza Wananchi kupanda Miti,ahimiza utunzaji wa mazingira,vyanzo vya Maji,akemea vikali shughulli za kibinadamu katika vyanzo vya Maji.

    January 26, 2023
  • RC Kataci aongoza Wananchi kupanda Miti,Ahimiza utunzaji wa mazingira,vyanzo vya Maji,akemea vikali shughulli za kibinadamu katika vyanzo vya Maji.

    January 26, 2023
  • RC Katavi akabidhi pikipiki 8 kwa Maafisa Tarafa. Awataka kutumia vyombo hivyo kufuatilia Ugawaji wa Mbolea,Uripoti wa Wanafunzi Mashuleni.

    January 13, 2023
  • KATAVI WATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU, KITUO CHA AFYA MAJIMOTO CHAANZA KUTOA HUDUMA,

    December 30, 2022
  • Tazama Zote

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
Video zinginezo

Wavuti wa Haraka

  • SALARY SLIP PORTAL
  • MWENGE BLOG-KATAVI
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI

Wavuti mwambata

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani

Wasiliana nasi

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi

    simu: 025-2957108

    Mobile:

    Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • ramani
    • Huduma

Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved