Posted on: August 4th, 2019
Ujenzi wa nyumba ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanganyika uko katika hatua za mwisho za upauaji . Hatua hii itapunguza kwa kiasi upungufu wa nyumba za watumishi katika eneo hili...
Posted on: July 29th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe Homera azindua Tamasha LA PAMOJA FESTIVAL 2019 litakalokuwa likifanyika kila mwaka Mkoani Katavi likiwa na lengo la kuibua vipaji vya wasanii katika mziki, ngoma na uigizaj...
Posted on: July 24th, 2019
Mhe Juma Zuberi Homera akiwa katika picha ya pamoja na Mhe Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Amos Gabriel Makalla na watumishi wa Sekretariati ya Mkoa wa Katavi katika hafla fupi ya makabidhiano ya Ofisi tarehe 2...